Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
Ngoja ipite BRT hapo chini, unaweza sema upo New York.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kuingia jijini……can’t wait.
Mbona unacheka kwa uoga?Hii sgr ya danganyika bado haijaisha na tumebakisha wiki mbili tuingie 2022 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hapo Kamata flyover sijui itakaajeChini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kutongozea………..[emoji28] can’t wait.
Labda na yenyewe ita cross upande wa nyerere road tu kwa kufata barabara...i think Buguruni also needs fly over alot of areas actually need interchange imo .Hapo hapo Kamata flyover sijui itakaaje
we jamaa mkorofiChini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kutongozea………..[emoji28] can’t wait.
Hakika panapendezaa..Chini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kutongozea………..[emoji28] can’t wait.
Yani esigiara ya dangagiza 150km bado haijaisha 5 years tangu ianze.Mbona unacheka kwa uoga?
Wakenya wangetamani pawe kwao.
Hakika kaka juzi nilipita Moro ndani kdg nikaambaa na reli ikiwa complete walikuwa wakirebisha mawasiliano tu hakika panapendeza!!!hata hiv vituo vya umeme ni vikubwa kweli tofauti na tunavyoona kwny videos!!RIP JPM kile kilikuwa ni chuma kweli tumpe support mama kazi iendelee!!! Mungu Ibariki Tanzania.Wakenya wangetamani pawe kwao.
wakenya mijicho inawatoka
Kweli kabisa mkuu.Hakika kaka juzi nilipita Moro ndani kdg nikaambaa na reli ikiwa complete walikuwa wakirebisha mawasiliano tu hakika panapendeza!!!hata hiv vituo vya umeme ni vikubwa kweli tofauti na tunavyoona kwny videos!!RIP JPM kile kilikuwa ni chuma kweli tumpe support mama kazi iendelee!!! Mungu Ibariki Tanzania.
Yani esigiara ya dangagiza 150km bado haijaisha 5 years tangu ianze.
Baba umeua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii kitu hahihitaji ukurupuke
View attachment 2053851