Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kpa imempotea Burundi na sasa watampoteza Rwanda na hii mikoa ya kask itahamia Tanga, Kenya mjipange sawa sawa
 
Kpa imempotea Burundi na sasa watampoteza Rwanda na hii mikoa ya kask itahamia Tanga, Kenya mjipange sawa sawa
Hizo nchi zote ulizotaja hazina mpaka na Kenya, Tanzania ndo inashare mpaka nazo, So ni nyinyi ndo muendelee kujipanga manake mmekua mkisikitisha kwa mda mrefu sana ... Anyway, mizigo ya Rwanda na Burundi haiwezi kututishia, yote ukijumlisha haifiki ata 3 million tones... DRC ndo kutakua na biashara hapo mbeleni, na kwa mara nyengine, nyinyi Tz ndo mnashare mpaka nao, sisi tuko mbali na wao lakini tutabanana hapo hapo!

Alafu BTW, KPA haijapotea hizo nchi ulizotaja

DRC cargo mbona inapita Dar!
 
DRC cargo mbona inapita Dar!
sijapinga mimi, ninachosema ni kwamba uchumi wa DRC haijafika critical mass, Hapo mbeleni DRC ndo itakua na mizigo mingi sana kushinda hata kina Uganda na Ethiopia.... Ikifika wakati huo basi mashindano kati ya Dar na Msa yakatua makali
 
Kwahiyo wewe mizigo ya mining industry burundi na congo huioni sio. Burundi yenyewe tu mining industry yake ina export 3 million tonnes per annum je ukiongeza Congo ni mzigo mkubwa sana. This will be a good business kwa TRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…