Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Huyo zuzu anaongea mawazo yake tuu yuko out of touch na reality unless ni propaganda za kijinga.
Huyo mtanzania hapo Kwa Twitter amemuonyesha Madini yaliopo Tz... How does that guarantee to make Tz SGR profitable? Shida ni kwamba Tz hua mko na hypothetical nyingi wakati reality Kwa ground ni tofauti...
Hebu niambie, ni tani ngapi za dhahabu ambazo zinapelekwa na malori hadi Dar kila mwaka? Je hizo tani za dhahabu na madini mengine zinatosha kuletea SGR faida...

Kumbuka ukisema zinatosha inamaanisha Tz haitawahi kujenga viwanda vya ndani vya kusafisha dhahabu ili kuongeza mapato ndani ya nchi, Yani mtakua mna export dhahabu ikiwa bado imeshikana na mawe na michanga ili iwe mzigo mzito (Yani hakuna value addition inayofanyika Tz)
Ndio maana huyo Mzungu hapo Twitter amesema labda muamue kubeba mafuta ya petroli na diesel kupitia SGR ndo angalau mtakua na mzigo wa kutegemea, tofauti na Kenya ambapo tulijenga SGR na bomba la mafuta Kwa wakati mmoja .... Kama tungeamua kusafirisha mafuta na SGR kungekua na biashara kubwa sana ambayo ingeiyeka KRC busy. Hata Ethiopia nao walitupilia mbali mradi wa bomba la mafuta ili watumie SGR lakini sielewi vipi bado wanabeba mizigo kidogo kutushinda licha ya kuanza operesheni za SGR mapema kutuliko.
 
Kawaida yenu tushawazoea, Yani kazi ni kupiga dua mkingojea Ke ipatwe na janga ndo muone mahali pa kupenya kuipita Kenya.. Hakuna siku utampata mtanzania akisema atatushinda ana kwa ana pasipokua na shida flani...
Huu wivu hautakufikisha mbali.
 
Alafu wale ma haters wa SGR Kenya ambapo hua wanakosa kuangalia vizuri wakipost takwimu za loss ya SGR, ni kwamba ukichunguza, kila mwaka tangu SGR ianze kufanya kazi 2018, hua tani 1 million zinaongezwa Kwa SGR (which means by law of physics on expansion, eventually tutafika pale inapohitajika...

Kwa mfano, kwenye hio original tweet, kuna jedwali moja linaonyesha mizigo na hela ilioletwa na SGR 2020 na 2021




Ukiangalia tonnage ya 2020 Freight ni 4.4million tonnes.

Na tonnage ya 2021 freight ni 5.4 million tonnes ...


And incase you are interested, mwaka wa 2019 SGR ilibeba 3.1 million tonnes


So as you can see kila mwaka mizigo inaongezeka and as long as that is happening, I will never be worried for SGR project...
 
Kuna wakati tulishindana sana ukawa unakiri kua reli yenu iko fenced 100% 🤣🤣 inakuaje binadamu wanaonywa wasitembee wala kuketi juu ya reli wakati wa majaribio 🤷🤒🙋
kwani first 15 km imekamilika? From Buguruni Bakhresa to Pugu the SGR is not ready! Fencing will come at the end!
 
Nobody hates your 13th century shit! The fact is that, those "little apes" from China delivered a museum "thing" with higher cost, right!?
 
NMB inafanya vizuri kutokana na wafanyakazi wa Serikali na taasisi za Serikali kulipwa kupitia iyo bank....
Sawa kwa nini hakuomba ili mishara yao pia ipitie huko nakupa mfano mimi kipindi naanza kufungua account nilifungua NBC lakini sasa ukiniuliza kwa nini niliiacha kwa sababu ya kufanya kazi kimazoea nikaamua kufungua CRDB ambayo ndio nayotumia mpaka leo
 
Kuna wakati tulishindana sana ukawa unakiri kua reli yenu iko fenced 100% [emoji1787][emoji1787] inakuaje binadamu wanaonywa wasitembee wala kuketi juu ya reli wakati wa majaribio [emoji1745][emoji855][emoji137]
Hiyo ni caution lazima uweke kwani mtu hawezi kuruka fence na kutenbea juu ya reli it is possible
 

Banks say are ready to support SGR III suppliers, contractors

22Apr 2022
James Kandoya
Dar es Salaam
Business
The Guardian
Banks say are ready to support SGR III suppliers, contractors

TANZANIA banks are now ready to support suppliers, contractors and other dealers to participate in the phase III of the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) - Makutopora-Tabora section.


SGR infrastructures are under construction. Banks have agreed to offer financing to contractors, suppliers of goods and services PHOTO/FILE

Tanzania Bankers Association Chairperson Abdulmajid Nsekela disclosed that recently at the official occasion of laying the foundation stone for the starting of the phase II of the project.

He said the project was very important to country development therefore the financial sector must fully be involved to enable local; suppliers and dealers to participate.

He assured them that they were ready to support them individually once they had submitted a performance invoice insisting that it was another opportunity for them.

Nsekela commended the government for prioritizing local content to enable local contractors and suppliers to participate in the ongoing contraction.

“Banks have been supporting contractors in different stages of construction and paid them when certificates are ready, ”he said

He, however, called on the banks to be creative by linking with contractors noting they had disbursed over 104bn/- in the ongoing construction project in the country.

“CRDB is the only bank operating in Burundi. Therefore, it is our hope that the bank will be in position to serve our fellow Tanzanians in Burundi and Democratic Republic of Congo (DRC) in the value chain,” he noted.

Tanzania Commercial Bank (TCB) managing director, Moshing Sabasaba said his bank has been collaborating with Tanzania Railway Corporation (TRC) to give working capital and importation of locomotives and wagons.

TRC director general Masanja Kadogosa said that there were over 32 local companies participating in the ongoing construction of the rail from Dar es Salaam-Morogoro up to Makutopora-Tabora section so far.

“There are plenty of opportunities for local suppliers and dealers to use the opportunities available to participate in the project,” he said

Kadogosa said the contractor was ready to trade with local suppliers and engineers but they must observe high quality of products supplied to the project in order to meet the standard recommended.

According to the director general, despite the fact that the demand was big, he called more local experts to utilize the opportunities available.

The phase III of the SGR –Makutopora-Tabora(368 kilometers) under the Turkish contractor, Yapi Merkezi worth 4.4trn/- will be completed by 2025.

Tanzania government has disbursed over 14.32trn/- so far for the fourth phases of the project, that once start operating, it will recoup after 25 years.

The railway system will link the country to the neighbouring countries of Rwanda and Uganda,and through these two, to Burundi and Democratic Republic of Congo,as part of East African Railway master plan.

The new Standard Gauge Railway (SGR) is intended to replace the old, inefficient meter-gauge railway system.

 
Hiyo ni caution lazima uweke kwani mtu hawezi kuruka fence na kutenbea juu ya reli it is possible
Nah, kama kuna fence hakuna haja ya ku warn watu wasikae juu ya reli... Unawaonya wasibomoe wala kuruka fence, kwamba tendo la kuruka fence pekee ni kinyume na sheria (trespassing) na ukishikwa utafungwa jela.... Lakini ukionya watu wasikae juu ya reli inamaanisha hakuna kizuizi chochote kinachozulia mtu kufika hapo kwa reli.
 
Nobody hates your 13th century shit! The fact is that, those "little apes" from China delivered a museum "thing" with higher cost, right!?
Then why are you here commenting like someone who is butthurt???
Wake me up from slumber when your 23rd century SGR handles more than 5mln tones of cargo... until then, shut your trap and learn from big boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…