Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Naona mnahamisha magoli kwa kudai eti Jwtz wanajenga reli wakati wananchi watanzania hawana ajira? Hii SGR kama haitapotea hivo tu hewani itakamilika 2035 earliest.
Ushahidi wa 28% kwa Picha sio video ya wakuu wa serikali wakirandaranda same place different times na pia mlete hadi locations with shots taken from a distance to ascertain authenticity of the said/ purported different locations tena sio kwa tweets. Tunawajua kwa kuongoza Afrika kupika data na giving false information.
 
Haahhahahaaaaaaaaa ina maana hujaona September progress report ipo Video toka Yap wenyewe siyo TRC wala Geza. nenda kule kwenye SGR UPDATES
 
Haahhahahaaaaaaaaa ina maana hujaona September progress report ipo Video toka Yap wenyewe siyo TRC wala Geza. nenda kule kwenye SGR UPDATES
Report tushazoea ndio maana tunawaita viongozi wa kupika takwimu Afrika, sissi tunataka evidence ya picha na majina ya location with geographical evidence sio kusema hapa ni Morogoro ilhali reli ndio peke yake inaonekana.
 
Kwahiyo unaamini picha zaidi kuliko Video hahahahhahahahaaaaaaaa. Nenda kaangalie Reli inaonekana kidogoooooo utaona madaraja, Culvert, Overpasses na mengiiiiiiiii

Same videos taken at different angles.
 
Suswa station is in the middle of nowhere like 4 km from nearest town

Jokes on you ,The design speed is 220 km/h ,kenya can puchase faster trains in the future when it has enough electricity..

bolt jointed railway upeleke 220km per hr kama hamkupasuka unafkiri 220 speed ni kama kula bajia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
modern electric railway in africa mapovu ruksa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…