Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Jokes on you ,The design speed is 220 km/h ,kenya can puchase faster trains in the future when it has enough electricity..

120 yenyewe hamumalizi itakua hio 220 do u thinks its a joke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
From Dar to Moro only 20% has been complete....hehehehe wah! hii itakamilika yesu akirudi
Dar - Moro 184.7 km
Percentage complete 20%
Actual Distance complete = 36km
Yani 36km ndio tunapigiwa hapa kelele na kutolewa povu si angalau mfikishe 100km alafu mje na mbembwe zile zenu za tuta.
 
modern electric railway in africa mapovu ruksa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]




Kula matapishi yako mwenyewe... Phase 2A Progress

 
Kula matapishi yako mwenyewe... Phase 2A Progress


umekuja na hasira nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


 
umekuja na hasira nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


Yani wamechukua video ile ile ya kitambo nakuiregelea tena na maelezo tofauti alafu akai upload kama latest update!? CCMna propaganda hawana mpinzani


Soma comments


mungi ramadhani1 month ago
Unarudia Video. Be current. Don't mislead.

clinton junior1 month ago
leteni vitu vipya vingi hivyo mnarudia. halafu mbona tuta halina kingo? mfano kitu kikiingia wakati treni inapita itakuaje?




enock elia1 month ago
Ben inarudia rudia video za nyuma. uploads mpya

3

REPLY



Yeshua Yahu
1 month ago
enock elia Kaanza kuzoea ajira huyo





Daniel Joseph1 month ago
Io logo ya trc mmetoa rangi ya kijani kwanini ?ili mfanane na kenya au rudisheni rangi yenu acheni kuiga
 

kitu kinachokuuma ww ni kwann tanzania wanajenga modern electric train in africa tena phase one and two kwa pamoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

lakin cha ajabu leo unasahau ujenzi wenu wa mitungi ile wachina waliokutandikeni ilijengwa kwa 3 and ahalf yrs 470km leo tanzania inajenga phase one 300km for two and ahalf yrs pamoja na phase two ambayo 2020 itakua imekamilika jumla itakua na 722km from dar to morogoro

kabla ujezi haujaanza mulisema propaganda sasa ujenzi umeshika kazi bado unatuambia propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


my friend kwenye habari ya SGR forget about it yani hamutakaa kuamini nakwambia na ww ntakutafuta mwakani november [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si uone tu hapo kitu auality lazima kichukue mda......alafu hyo miaka mitatu ya 470km ni ipi...hhhh!!mtaumia...tena after the completion of phase2...kitu kinakuwa electrified...wachezea kenya wewe..watu huenda na mpingo bana si propaganda
 
Si uone tu hapo kitu auality lazima kichukue mda......alafu hyo miaka mitatu ya 470km ni ipi...hhhh!!mtaumia...tena after the completion of phase2...kitu kinakuwa electrified...wachezea kenya wewe..watu huenda na mpingo bana si propaganda
ahahahhahah kinakua when 2060 au😂😂😂😂 maana phase 2A inaisha 2020 sasa hio electrified ni when???? au mpaka yesu ashuke
au wewe hujui sheria za mikataba muliongia na wachina


tatizo lenu mulishakosea toka mwanzo sasa munajifanya kama vile hamujakosea ili musichekwe😝😝😝😝 dunia ya leo haina siri
 
Hio yote ni ndoto..... ukimaliza kuota come back to reality

the reality is, Kenya SGR, phase 1 comptele 100%, phase 2 67% complete.
Tanzania SGR phase 1 23% complete, phase 2 0% complete
 
Tafadhali hii thread ifutwe huwez kulinganisha sgr ya umeme Tz na upuuzi wa kenya mtambo wa gongo.
 
Maoni yako hayo...leta takwimu hapa
 
Tafadhali hii thread ifutwe huwez kulinganisha sgr ya umeme Tz na upuuzi wa kenya mtambo wa gongo.
😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…