Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #14,561
Sababu ya more than 1cm ya electric sgr [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Yan wakenya wamekimbia kabisakwenye huu uzi, kwani tumewakosea nn wajuba?
Acha ujinga kuwa na aibu hata kidogo basi wenzako wote waneufyata unaona wajinga ama?Mnachekesha jomba...haya twende kwenye technicalities, mmebeba tani ngapi ya mizigo na abiria wangapi tulinganishe na ya kenya? Ama nini haswa kinawapea orgasms hivi??
Watanzania kwa domo domo hamna wapinzaniAcha ujinga kuwa na aibu hata kidogo basi wenzako wote waneufyata unaona wajinga ama?