Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #15,221
sasa wale wajuaji waje kujibu humu! maana walipinga hili! Nakumbuka yule mama alishupalia utaratibu kufuatwa akapuuzwa!Hili swala la Kadogosa kutoa tender Kwa Yapi merkezi bila ushindani Geza Ulole alikipinga humu,wengi hatukumwelewa, sasa haya ndo matokeo yake
Hapa ni parefu sana kwa ndugu zetu wanao hangaika na ugali!