Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #15,241
Hapana hapa wanaweka over/under pass nyingine kwa kawawa road kama diversion ya kuingia bandarini sambamba flyover za changombe
MY TAKE
Daraja gani la Kawawa linabomolewa?
Kwahiyo itakatiza kawawa road tu?Hapana hapa wanaweka over/under pass nyingine kwa kawawa road kama diversion ya kuingia bandarini sambamba flyover za changombe
Yes according to the picture that was sharedKwahiyo itakatiza kawawa road tu?
Wazee wa ngonjera
Unauhakika gani kama hatujapewa mishahara?wazee wa vitendo mna miezi hamjapewa mishaara!
Sasa ukiwahi kuisha watapata wapi asali endelevu?Huu mradi umekuwa na kalenda nyingi sana sijui utaanza lini