Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hii nchi kila siku wanasema wanategemea vichwa kuwasili April na kuanza operations May now naona wameamua kupiga kimya
Mradi unaelekea kuwashinda sema wanaona aibu kusema. Labda yule mzee angekuepo ungekua umeanza kufanya kazi
 
L7

Hivi CAG alivyosema SGR ya Tanzania ni ghali kuliko wastani, alitumia comparable projects zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…