Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

34% na bado supplier wa rolling stock hajulikani na mnaamini it will be ready by the Nov. 2019, hawa wanainchi Vipi?
You only need to look at the progress of Nairobi Naivasha to see how a project that will be completed next year looks like now
 
Hahahahahaha, mad man at its best. Hivi standard Unit inasemaje vile, kwamba supplier wa rolling stock lazima ajulikane wakati ujenzi umefikia asilimia ngapi?, ni hiyo standard unayotumia ilipitishwa wapi na lini?
 
Speed ya hii section ni kali sana, inawezekana ni kwa kua kuna kampuni 2 zinazoshirikiana kujenga Moro to Makutupora
Ila Mota Engil wako kimya sana ni kama wamewaachia Yapi Merkezi peke yao!
 
34% na bado supplier wa rolling stock hajulikani na mnaamini it will be ready by the Nov. 2019, hawa wanainchi Vipi?
You only need to look at the progress of Nairobi Naivasha to see how a project that will be completed next year looks like now
The rolling stocks have been ordered already!

Procurement of SGR equipment kicks off
 
Our Asst.locomotive drivers get simulation training to prepare them for the journey ahead.This is in addition to live training

View attachment 941400
Hao wanajifurahisha tu, hapo ni kama wanacheza game ya SEGA! wachina wamekunja sura wana komaa na ajira zenu. Uhuruto wamesign mikataba mchina haondoki mpaka 2027 kwenda mbele. Mswahili akigusa mlango wa kichwa cha train tu anakula teke la shingo..
 
Eeh hata mi Naina hivyo, wale maengineer zaidi ya 100 wanaosomea master's na PHD ya railway engineering kule China ni wakenya fake Na degree zao zitakua za uongozi... Na mchina kuwekeza $100m Ku modernise Kenya railway training institute pia ni mchezo wa pata potea, na alipoleta hii expensive simulation capsule ilikua imezeeka na inapelekwa Kwa scrap metal kule China kabla wakumbuke kumbe wanaeza wakaitupa huku Kenya shamba la takataka ....
# Tuendelee Kuota ndoto za fofofo!
 
Hao wanajifurahisha tu, hapo ni kama wanacheza game ya SEGA! wachina wamekunja sura wana komaa na ajira zenu. Uhuruto wamesign mikataba mchina haondoki mpaka 2027 kwenda mbele. Mswahili akigusa mlango wa kichwa cha train tu anakula teke la shingo..
Hata ukijifunza flying lazima ucheza game ya Sega kwa kwa flight simulator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…