Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Lewis254 amebakia kulia lia tangu TRC ilipoanza majaribio๐Wakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa๐.Wakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
Garimoshi linafananishwa na Garistima! 2,weak Engines zikikokota mabehewa chini ya 10!wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa๐.View attachment 2938676
Huoni aibu?๐wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa๐.View attachment 2938676
Nakuulizwa swali rahisi Hata mtoto wa darasa la 4 anajibuwakati wenzetu wakishangaashangaa glasi ya maji juu ya meza, hapa ndipo tulipofikia, and still counting ๐View attachment 2938600
Linganisha na hii๐๐ฟwa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa๐.View attachment 2938676
nakaa kufanana na mtu anayeshangazwa na glasi ya maji juu ya meza kwenye burreti treni kweli?Huoni aibu?๐
Sgr Kenya = 3 million passengersNakuulizwa swali rahisi Hata mtoto wa darasa la 4 anajibu
Sgr ya Kenya ni electric ? Yes or no
Sgr ya Tanzania ni electric? Yes or no
Ndio.nakaa kufanana na mtu anayeshangazwa na glasi ya maji juu ya meza kwenye burreti treni kweli?
UNAMPOST BABA YAKO ๐คฃ ๐ ๐๐๐ a very short story
View attachment 2938580
๐View attachment 2938581
View attachment 2938582
Yaani awa jamaa awapendi ktu kizuri kwa tz wanaumia sanaWakenya Hata walie machozi ya aina gani hawatajenga reli yenye Kiwango Kama hii , na sio Kenya tu ni nchi zote afrika kasoro Morocco .
Hapo juu ya locomotive ni kuni ama ni macho yangu yananidanganya?wa wapi wewe??? nna shauku umekuwa ukiishi kichakani. tizama hapa๐.View attachment 2938676
Nimekuuliza kitu gani na umejibu kitu gani?Sgr Kenya = 3 million passengers
Sgr Tz = 0 passengers
njoo nikufunze jinsi ya kukata tikiti
View attachment 2938816
Iyo ni ng'ombeNimekuuliza kitu gani na umejibu kitu gani?
Hawa ni wauza matumbo?๐๐๐ aiseeView attachment 2939204