mda si mda, huku ndiko tunakoelekea πNimesha mwambia ndugu tupeane ongeraaa sisi ni majirani kabisa tena wa damu π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π π π π
View: https://twitter.com/komamdo32421/status/1775617438307991588
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mbona umeumia sana, kulikoni?π
Mbona isi-lend GOK ku-fight hunger n unemployment?hukumbuki mukija kutupigia magoti mukitaka tuwakopeshe.... wacha kuwa mpuzi
View attachment 2953263
mko na umeme ama mtatumia solar?? tumia akiliππΏwakenya wameanza kuona uhalisia walijua ni ndoto
Tunatumia solar; umeridhika?πmko na umeme ama mtatumia solar?? tumia akili
Umeme tunaanza kuwauzia kutakuwa na megawatt 2000 za ziada zinatafuta mteja.mko na umeme ama mtatumia solar?? tumia akili
Wewe Mpumbavu wa wapi? PAX is a service to us and cargo is a business! Kila SGR station Tanzania ina cargo station pia! Sisi si kama SGR yenu haina cargo stations kila penye PAX station!if the motive was to carry passengers then the project is bound to fail πππππ
hata nimesahau, hao passengers wenyewe wako wapi, nchi imejaa masikini hawaezi afford tikiti.
priorities matters!
Huyo nyang'au wa kibongo huwa atatokeaga akisikia habari hasi kuhusu TRCππLewis254 upoo umepotelea wapi kaka. Tulikuonya.
tulimuonya kuwa atapotea anakukosa cha kuongea ona sasa.Huyo nyang'au wa kibongo huwa atatokeaga akisikia habari hasi kuhusu TRCππ