Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hii Sgr ya Tanzania sijaona ikifanyiwa promotion na wazungu Kwenye cnn , bbc nk kama walivyofanya kwenye ngarangara ya jirani .
Nilichojifunza wazungu hawapendi nchi za dunia ya 3 au zisizo na damu ya Caucasians zikiwapita au kufikia maendeleo Yao.

S. Korea , Japan , China , Taiwan , uturuki walipata shida sana kufika walipofika.
Hata historia ya Egypt hawataki kuihusisha na mtu mweusi wamejaribu kufuta historia.
Wakikusomesha watakutawala usiwapiku au hawatakupa ufunguo wote wa elimu wa kumwezesha mtu mweusi ajitoe Kwenye utegemezi .

Hii reli ya sgr ya Tanzania haina tofauti na ya Germany au France au Italy au Spain au Uk na Kama ipo tofauti ni ndogo sana.

USA hawana Sgr ya umeme , na Kama ipo ni kipande kidogo sana .
Canada hawana .
Nchi nyingi za ulaya mashariki hawana
Amerika kusini hawana

Bomba la mafuta walilipiga vita sana eti linaharibu mazingira .
Bwawa la mwl nyerere walilipinga sana ili nchi iendekee kutumia mitambo Yao ya gesi ya gharama kubwa kuiendesha , isiyo na uwezo mkubwa ili iharibike Mara kwa Mara watengeneze wao shida ya umeme isiishe .

Magufuli alikaa Kama raisi muda mchache lakini maendeleo aliyoleta ni ya vizazi na vizazi.
 
umeona enhee inabidi tugangamare!
 
Chadema nao walipinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…