Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #16,181
Duuu sasa kona kona za niniukweli huu hapa na sio ndotoπView attachment 2976011
watu wako kwa 3m passengers na 6.2m tonnes wewe unaleta 'ngendembwe' Cc eliakeem
you should be ashamed of yourself
Hawa jirani ni watu wa maamuzi ya kukurupuka kisa Tz iko mbele kwa progress ya rail development basi watafunikafunika specs za rail alimradi tuu wapate kichaka cha kujipigia pesa ndefu.
View: https://twitter.com/mudambamudavadi/status/1786471534330024024
MY TAKE
Kiwewe cha SGR Tanzaniaβs launch!
Tz iko mbele ya nini? πππHawa jirani ni watu wa maamuzi ya kukurupuka kisa Tz iko mbele kwa progress ya rail development basi watafunikafunika specs za rail alimradi tuu wapate kichaka cha kujipigia pesa ndefu.
bado siamini kuwa hawa ndio abiria wakaoipanda burreti treni π€£π€£π€£ πHasira za nini we dada wataka kujiua bure na maphotoshop jingazπ π π€£ π€£
Povu la nini sasa dogo? we have the most modern and longest electric SGR in Africa Je nyie SGR yenu ina sifa hizo? Hii ndio maana halisi ya kuwa mbele infrastructure wise.Tz iko mbele ya nini? πππ
wacha kujifanya kichaa. your sgr is as good as dead... kwa mzigo upi mlionao na mnaupeleka wapi? ulishindwa kuleta numbers hapa kwahio fyata mdomo wakoView attachment 2981248
View attachment 2981249
Kwenye locomotive engines za tazara inatumika treni ikianza kupanda milima ya mlimba to makambako
Kwahiyo hizo locomotives hazina sandbox to avoid slippage.Kwenye locomotive engines za tazara inatumika treni ikianza kupanda milima ya mlimba to makambako
Zina sandbox , ikianza ku slip loco inamwaga mchanga Kwenye reli kuleta friction na kuwezesha treni kupanda mlima .Kwahiyo hizo locomotives hazina sandbox to avoid slippage.