Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wabongo wana sifa za kipuzi kweli. ati longest in Africa... ushuuzi mtupu. wamekurupuka!
hii hapa Gautrain πŸ‘‡

We kweli punguani kitu cha 80km shuttle unalinganisha na 2600km rail.

Wabongo wana sifa za kipuzi kweli. ati longest in Africa... ushuuzi mtupu. wamekurupuka!
hii hapa Gautrain πŸ‘‡
View attachment 2987133

View attachment 2987135View attachment 2987136
Wewe Lewis254 huna akili kabisa. Hii yote ni kutaka tu kujiaminisha kuwa our project ni inferior na za nchi nyingine ndio best. Acheni ujinga nyine Wakenya. Kila siku tunawaambia kuwa, huko Nigeria na kwingineko huwezxi fananisha na nchi zetu za East Africa kwa maendeleo.

Lets get back to business: Wewe mpuuzi hii 80km unajua ni nini, wewe unadhani ni urefu wa Gautrain? Gautrain ni kafupi sana sawa na kaTrain walichonunua Ghana Poland. 80km ni total railway tracks za SGR toka Pretoria to Johannesburg.

Nyie Wakenya mna inferiority complex mbaya sana, yaani mnajihisi mmepitwa kila kitu na baadhi ya mataifa mnayo yaabudu. SGR ya Tanzania ndiuo ndefu, most modern na treni zetu ni za nguvu mno.

Attachments

  • 1715383369168.png
    317.4 KB · Views: 2
Huu uchafu wa Gauteng ndio anataka kufananisha na Nyerere Express!
Tuliwaambia lakini sasa wanajuta vyuma vinashuka maumivu mpaka kibera 🀣🀣🀣
 
Lets get back to business: Wewe mpuuzi hii 80km unajua ni nini, wewe unadhani ni urefu wa Gautrain? Gautrain ni kafupi sana sawa na kaTrain walichonunua Ghana Poland. 80km ni total railway tracks za SGR toka Pretoria to Johannesburg.
jamaa umepanic. tushaelewana na Kosugi kuwa kuwa hizi high speed/ electric trains mara nyingi zinatumika kutoka point A to point B (intercities) mainly for passengers (mass transportation). mara nyingi zinakuwa 200 to 400kms ambapo kama Nairobi na Mombasa ikiunganishwa inaweza make sense kwa ni majiji ya kueleweka.
tuchukulie mfano tu Dar to Dodoma... hebu niambie Dodoma kuna mpango gani.
ndio kwa maana nasema nyie mumekurupuka kujenga 10,000kms ya Big White Elephant.
 
Huu uchafu wa Gauteng ndio anataka kufananisha na Nyerere Express!
Tuliwaambia lakini sasa wanajuta vyuma vinashuka maumivu mpaka kibera 🀣🀣🀣
wewe si tulielewana jana ukaamini ninachokisema? jana ulikuwa sober ukaamini kila kitu, sasa leo nakushangaa 🀣
 
huyu hapa Al Boraq (Morocco) 323km long Casablanca to Tangier πŸ‘‡

sio unaamka asubuhi moja umevimba uji na mihogo ya kuchemsha unaanza kuwika 'longest in Africa, 1 million kms' kwa kitu kisichokua na economic output yoyote.
Kosugi, jitathmini sana aisee 😁😁😁
 
Wacha wivu wewe huko twitani mbona mnalilia treni za umeme mkiomba KRC wawaletee wakati miundombinu ya treni za umeme hamna 🀣🀣🀣
Hadithi za sizitaki mbichi hizi
 
Utabakia kuonesha treni za watu tuu zilizoenda shule. Tuwekee kibwagizo kdg basi cha lile nginjangija tucheke kidogo.
 
Ndio hii. Report ilisema ni empty container
tuliza mshono ww. report ipi mbona huileti hapa.
 
Wacha wivu wewe huko twitani mbona mnalilia treni za umeme mkiomba KRC wawaletee wakati miundombinu ya treni za umeme hamna 🀣🀣🀣
Hadithi za sizitaki mbichi hizi
everything is in place. time will telll. nyie mumekurupuka narudia tena, nyinyi mumekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…