Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Jana nimepanda hili gari,aisee hapa wamewekeza..mwendo wa kawaida ila train ni nzuri sana kama ulaya,japo sina uhakika na uimara wa hizo train...

Teyari watu wanapanda na magodoro,ma box ya bati,nimeona mtu kapanda na kuku...
chai hii...
tupia picha iwapo unataka tukuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…