REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Wanapenda ligi za kijinga sana na zinawakost pakubwa. Same kama BRT na mradi wao naona wameubandan kwa sasa baada ya kupoteza hela kibao.Nchi ni Topestan sasa unategemea wawe na uwezo wa kufanya cost benefit analysis, kweli? Hii ni knee-jerk reaction baada ya kuona treni za SGR Tanzania!
Usisahau greenfield terminal, Nairobi greepark bus terminal. Kanu-Lokichar pipeline!Wanapenda ligi za kijinga sana na zinawakost pakubwa. Same kama BRT na mradi wao naona wameubandan kwa sasa baada ya kupoteza hela kibao.