Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Power 🔋 backup nafikili ni kuweka watu kwenye mabehewa wasikae Giza, ila sio locomotive kuwa na nguvu ya kuvuta mabehewa.
unaomba au unatamani liwahi kuzima? 🤣🤣🤣🤣🤣mbona mtungi wenu ulishawahi kuzima pia katikati ya mbuga?
Yes, SGR ya Tanzania ipo very effective kukwama msituni🤣🤣😂Ya Tanzania inaonekana imetumia garama ya kawaida na ya chini, ila ipo very effective.
Power back up inatosha kufanya treni itembee kwa saa moja mpaka stesheni inayofuata sasa hapa sijui shida ilikuwa wapi?Power 🔋 backup nafikili ni kuweka watu kwenye mabehewa wasikae Giza, ila sio locomotive kuwa na nguvu ya kuvuta mabehewa.
Mimi nilijua tuu battery 🔋 gani lenye nguvu la kuvuta mabehewa ya treni
Nyani haoni kundule 🤣🤣🤣unaomba au unatamani liwahi kuzima? 🤣🤣🤣🤣🤣
pole kwa kuliwa na mbu usiku wa kuamkia leo