Unajua sie si watu wa kupiga domo hivi vitu ni vya kawaida kwetu!Sioni tofaut ya mabehewa ya kenya SGR na mabehewa yetu ya zamaniππππ
View attachment 963382View attachment 963383View attachment 963384
Angalia drainage hapo kando ya fence utaona bado nyeupe na kuna mchanga fresh hapo kando sababu maeneo mengine hukaa miezi kabla yawekwe slop protection ya Aina yoyote . Nionyeshe wali kungekua na shida ya drainage tangu hapo 2016?Eti eneo lililopatwa na mafuriko 2016 wakati wa ujenzi lilikua bado ni mchanga mtupu!!! Wakenya mmepigwa the sooner you admit this the better for you. Angalia hiyo picha ya chini ni 2018 SGR imeisha na matumizi yame anza mpaka mnyama amegongwa ila bado ni michanga mitupu. Hapa mafuriko yakija hesabuni hasara.View attachment 963349
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Picha za mitaro yenu ni eneo ambalo Liko na milima miwili kumaanisha maji yote ya kutoka Kwa mlima yatakua yanateremka Chini.... Hauhitaji degree ya landscaping kuona kwamba huo mtaro ni too shallow maji yatakua yanateremka yanapita mtaro na kupanda Hadi juu ya reli alafu ndo yarudi Kwa mtaro ... Wewe na wenzako ndo mmekosa hoja za kujibu swali ya cargo projection mkajitweka shida za kua wataalam wa mitaro!Hiyo mitaro inawekwa kutokana na mahitaji ya eneo husika, mbona hili liko wazi! Umekosa point msee. Ofcoz maji yana wekewa njia yakutoka siyo kwamba yatabebwa kutoka Dar-Mwz. Angalia picha ulizo tuma ukubwa wa mitaro uko sawa!!?? Tumia akili budaView attachment 963341View attachment 963342
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
ojamaa ni fala kweli vitu vidogo kama moving water forces vinamshinda! Kiufupi huu mtaro ulipaswa kuwa as smooth as can be! halafu isitoshe kuna another layer coming after laying rails for SGR tanzania!
Ati running water needs rough infrastructure/surface as drainage to slow down the speed! That's Chinese fluids dynamics no wonder the drainage systems was swept away! Do u have an idea why pipelines r cylindrical shaped with smooth surfaces?o
No actually, on a place where you expect large volumes of water you need rough surface to provide resistance to fast running water in order to slow it's destructive force.... Lakini mnaeza endelea kujifanya mmkekua expersts were landscaping
ππππππAti running water needs rough infrastructure to slow down the movement! That's Chinese fluids dynamics no wonder the drainage systems was swept away!
Hata hivyo, subcontractors lazima watakuwepo local na foreign. Ni mradi mkubwa sana, si rahisi kampuni moja au JV pekee.Siyo Sub ni JV ile. kutoka Moro kwenda Dom ndio Yap wapo peke yao.
There are very many types of drainage system each with its own purpose....Ati running water needs rough op infrastructure/surface as drainage to slow down the speed! That's Chinese fluids dynamics no wonder the drainage systems was swept away! Do u have an idea why pipelines r cylindrical shaped with smooth surfaces?
Sub contract wapo WENGI Dar Moro zipo Local Company kama 6 hivi ila zote za Class 1 maana unakuta Sub unapewa Kazi ya 50B au 20BHata hivyo, subcontractors lazima watakuwepo local na foreign. Ni mradi mkubwa sana, si rahisi kampuni moja au JV pekee.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Swimming pools hutumia tiles na si Mawe hayo! Leta evidence!There are very many types of drainage system each with its own purpose....
Hey enda uangalie tena hio drainage ya Kenya.... Niambie no Aina gani ya mawe yametumika na kama unajua hayo mawe.....
Hivi unajua hayo mawe hupatikana Kwa riverbed amabapo maji Yana flow with great force?
Hivi unajua kwanini watu wengi hupenda kutumia hayo mawe kama pavement au ukuta? Au kando kando ya swimming pool au sanasana mwenye waterfall fountain..
Hata mawe hata mara nyengine hua yanapangwa moja juu ya mengine bila simiti na yanadumu, hata kule Jerusalem kuna nyumba nyengine zimejengwa na hizi stone retaining wall bila simiti na hazijawahi anguka Hadi Leo!!!!
Hayo mawe hua ukishayapanga na kuya bofya vizuri hua yanashikilia kabisa, tena mvua ikija yanendelea kumea naturally na yanazidi kushika kabisa,
Mark my words! Hio drainage Kwa Hilo eneo will last longer than the designed life span of the rail which is 100years, infact, mvua ikiendelea kunyesha tutakuja kupata drainage 'ilimea na kuongezeka' in 100 years...
Mbona hueleweki!! Maji yanapandaje reli wakati mtaro una slope!! Halafu unajua kazi ya hayo majani!? Na hiyo mitaro hipo pande zote mbili sasa hiyo hoja ya maji kupanda reli ndiyo yashuke kwenye mtaro unaitoa wapi!? BTW hiyo siyo milima miwili ni tuta lilo tengenezwa nakupandwa majani vizuri mpaka lime onekana natural wewe kuhisi ni milima. Nakuwekewa picha uitizame tena, enjoy the scenery.Picha za mitaro yenu ni eneo ambalo Liko na milima miwili kumaanisha maji yote ya kutoka Kwa mlima yatakua yanateremka Chini.... Hauhitaji degree ya landscaping kuona kwamba huo mtaro ni too shallow maji yatakua yanateremka yanapita mtaro na kupanda Hadi juu ya reli alafu ndo yarudi Kwa mtaro ... Wewe na wenzako ndo mmekosa hoja za kujibu swali ya cargo projection mkajitweka shida za kua wataalam wa mitaro!
Huo ilikua ni mlima alafu wakafanya cut through ili reli Ile ipite Kwa smooth gradient.... Hata Kwa ujenzi wa Barbara utakuta hua wanafanya hivyo pia.... Reli haitaweza kupanda mlima Kwa gafla kwahivyo suluhisho ni kupasua mlima kama ni mlima mdogo (hill) au kujenga tunnel inayopita katikati kama no mlima mkubwaMbona hueleweki!! Maji yanapandaje reli wakati mtaro una slope!! Halafu unajua kazi ya hayo majani!? Na hiyo mitaro hipo pande zote mbili sasa hiyo hoja ya maji kupanda reli ndiyo yashuke kwenye mtaro unaitoa wapi!? BTW hiyo siyo milima miwili ni tuta lilo tengenezwa nakupandwa majani vizuri mpaka lime onekana natural wewe kuhisi ni milima. Nakuwekewa picha uitizame tena, enjoy the scenery.View attachment 963826
Kwenye apron ya swimming pool haswa swimming pool za nyumba ambapo watu hua hawataki kugaramika kufanya repairs baada ya miaka michache... na pia mara nyingine utakuta hayo mawe hameongezewa karibu na foundation ya nyumba ya mtu kama decoration lakini pia hua inazulia maji ya mvua kufikiria foundation ya nyumba....Swimming pools hutumia tiles na si Mawe hayo! Leta evidence!
Haya umeshinda kaka maana Wewe ni mpumbavu wa mwisho unafananisha pool apron, man made water falls na drainage system ya infrastructure ought to be used 100 years!Kwenye apron ya swimming pool haswa swimming pool za nyumba ambapo watu hua hawataki kugaramika kufanya repairs baada ya miaka michache... na pia mara nyingine utakuta hayo mawe hameongezewa karibu na foundation ya nyumba ya mtu kama decoration lakini pia hua inazulia maji ya mvua kufikiria foundation ya nyumba....
Sana Sana utakuta mawe ya Aina hii yanatumika Kwa man made waterfall au ponds au fountain kwasababu haya mawe hua yanapatikana Kwa rivers na waterfall edge ndo maana hua yako flat... Hata mawe hua yameshazoea running water na isitoshe hua ukiyashikanisha na upitishe maji yanendelea kushika Hadi baada ya miaka flani mtu atafikiria hayakupandwa na binadamu ...
View attachment 964135View attachment 964137View attachment 964139View attachment 964141View attachment 964142
Those rocks existed long b4 there was any man made infrastructure on earth! As long as water flows occasionally through that ditch they will certainly outlast the rail itself.... 200 years from now vitukuu wako watakua wanapita Hilo eneo wanaona rocks shaped like a drainage ditch wanashangaa how did these natural rocks shape themselves like that... Kumbe hawajui ziliekwa na binadamu..Haya umeshinda kaka maana Wewe ni mpumbavu wa mwisho unafananisha pool apron, man made water falls na drainage system ya infrastructure ought to be used 100 years!