Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ni kweli GDP ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania ila ukija kwa uhalisia Kenya GDP kubwa ila kiasi kikubwa kinaenda kwenye kulipa madeni( nikimaanisha pamoja na kuwa na uzalishaji mkubwa wa USD 105bil kwa mwaka lakini ambayo kiuhalisia ndo inadetermine kipato, asilimia 68 ya 105b ambayo ni sawa na USD 71.4 kinaenda kwenye kulipa madeni huku kiasi Cha USD 33.6bil za kitachopatikana kutokana na uzalishaji zikienda kwenye miradi ya maendeleo na mishahara na kadhalika

Tukija kwa Tanzania GDP yake ni 79.61 huku deni lake likisimama kwenye 35%
Hivyo basi kutokana na huo uzalishaji kiasi Cha usd27.86bil kinaweza tumika kwenye kulipa madeni huku ikibaki na kiasi Cha USD 51.75bil kwa ajili ya matumizi na miradi
Sasa tukija kwenye uhalisia nani anaweza kufanya miradi mikubwa na yenye tija
Tanzania imeizid Kenya kwa kiasi Cha usd USD 20.14bil ambayo hata tukisema tutandaze reli mpaka turkana tunaweza fanya hivyo.
So Kenya inaweza ikawa na GDP kubwa lakini kwa Sasa isiwe na uwezo mkubwa wa kufanya lolote kwa sababu ya kuwa na deni kubwa sana ambalo hata haliwez lipika
 
Nyang'au hawataki kukubali😎😎
 
Kuna jamaa alileta ishu ya gongolamboto huku na SGR ,
Mimi mwenyewe nimepita jana jioni kbs nimeona baadhi ya sehemu gongolamboto watu still wanapita bado na pale gongolamboto eneo la Mombasa
 
Wameweka fensi ila hilo eneo bado wameacha wazi watu wengi sana bado bado wanavuka hapo. Nafikili kama jamaa yule alivyosema pale hawakufikilia watu watavukaje kipindi wanajenga pako hapo na eneo la mombasa.
 
Tanzania sgr kwa siku inahudumia watu takriban watu 7600 kwa siku Moja kwa miezi 12 itakuwa imehudumia watu 2.736mil tukienda kwa ratiba ya Sasa hivi kabla ya kuongeza route nyingine ya za dodoma huku ya Kenya ikiwa haijawahi fikisha kiwango Cha abiria 7000 kwa siku Moja
 
wacha kuota ww. subiri mwakani ripoti ya CAG, alafu tuangalie na revenue kabisa
 
Wameweka fensi ila hilo eneo bado wameacha wazi watu wengi sana bado bado wanavuka hapo. Nafikili kama jamaa yule alivyosema pale hawakufikilia watu watavukaje kipindi wanajenga pako hapo na eneo la mombasa.
Trc hapa walizembea sana!!! halafu ukumbuke mkandarasi naye ashasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…