Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ripoti inasema 29m wewe hiyo 40m umetoa wapi?
 
dogo... uelewa wako uko chini sana.
Jan to Sept = 29.9m.
nimesema huu mwaka (hapo ukiongeza Oct, Nov na Dec) naona (am foreseeing/ predicting/ projecting) tukigonga (we're gonna hit) 40m.
boya kama kawa.
 
a very good morning to Kosugi, Apeche alolo, GANJIBHAAI, eliakeem, KOMANDO YOSO, kilaza concordile 101.... etc.
just letting you know that Waganda wameamua.
wapeni maua yao Waganda basi... acheni roho mbaya 😁😁
View attachment 3127257
Hivi mlishatoa reli yenu kule porini!??
Hadi sasa mmejenga kilometa ngapi za reli ya SGR kwa ujumla!??
Maana Tanzania tumejenga zaidi ya 900 kilometres za SGR na zilizo functional ni 470+ kilometres.
Na bado tunaendelea kujenga.
Sasa sijui nampongezaje Uganda ilhali ni kama kanasa mtego mbaya.
Maana ujenzi wa reli yenu hauendelei hadi sasa.
 
No matter how much you cosmeticize your medieval diesel gari Moshi,the truth is,unaumia moyoni,hutaweza kubadilisha chochote,utaendelea kuumia hivyo,hatuna Cha kukusaidia😂😂
 
No matter how much you cosmeticize your medieval diesel gari Moshi,the truth is,unaumia moyoni,hutaweza kubadilisha chochote,utaendelea kuumia hivyo,hatuna Cha kukusaidia😂😂
mkuu... usinichukie mm. pata ufahamu hapa kidogo 👇





Uganda Signs SGR Deal with Turkish Firm​

byZainab Hafsah
October 15, 2024
Reading Time: 3 mins read



The government of Uganda has signed a US$2.95 billion deal with a Turkish company – Yapi Merkezi to construct a 272-kilometer section of the Standard Gauge Railway (SGR) on Monday.
  • The SGR will stretch from Kenya’s Malaba border post to Kampala, Uganda to join Kenya’s rail network headed to the Mombasa Port.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…