Onyesha hiyo signage ya Braille version!hata vipofu hawajaachwa nyuma π
View attachment 3146071
Kamanda bado unamlilia Akwilina mpaka leo? Mwenzako BoniYai anazidi kutajirika, wewe endelea tu na upupu wako.
usisahau Wi-Fi pia....Ulitakiwa uione bussiness class ya sgr kenya,
Ina hadi wireless charging pad kwa ajili ya simu
#Maakuli#
Mijadala ya hivi huwa inapendeza sana, hujatumia kelele wala mbwembwe kuelelewesha
Sasa unabishana na Mswahili? Haya baki na ujinga! Mtakuta mpumbavu kutoka kabila la Kikuyu ndiye katengeneza hiyo dictionary!
πππWazo la kununua vichwa mtumba lilikuwa la kijinga sana, sijui tuliwaza nini. Mwendokasi inavotupeleka puta nahofia yasije kufikia kwenye mradi wa maana na mzuri kama huu