Na joto lote hilo humo ndani π€£π€£π€£π€£π€£
Aki wakenya mmelogwa na vitu cosmetic sana ali mradi vitu vyenu vifanane na level za juu wakati mazingira na uwezo hamna. Imagine that sitting arrangement without AC on a bumpy rail halafu mnalinganisha na seating arrangement ya Airbus π€£π€£π€£π€£