Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kuna muda tuache kaunafiki na kutosema ukweli bayana hii lot 5 inaonekana imesimama.
Tunahitaji maelezo juu ya hili nimepita leo hali ni kama hiyo kweli kwa macho yangu pale sidhan kama kuna ujenzi unaendelea au mkandarasi ajalipwa certificate zake.
 
Hakuna lot yoyote inayoendelea mpaka sasa ila hapa tunafurahishana ili tuonekane washindi ila kiukweli hakuna lot 3,4,5 mpaka iyo 6 zimesimama
 
Hakuna lot yoyote inayoendelea mpaka sasa ila hapa tunafurahishana ili tuonekane washindi ila kiukweli hakuna lot 3,4,5 mpaka iyo 6 zimesimama
Ndio hivyo kamanda hii nchi bwana kuna muda roho inaniuma kwa yanayotendeka watu kama awaoni vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…