Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #19,561
Inabidi ukambane Kadogosa!View attachment 3234331View attachment 3234332View attachment 3234334
Kuna muda tuache kaunafiki na kutosema ukweli bayana hii lot 5 inaonekana imesimama.
Tunahitaji maelezo juu ya hili nimepita leo hali ni kama hiyo kweli kwa macho yangu pale sidhan kama kuna ujenzi unaendelea au mkandarasi ajalipwa certificate zake.
What happened to "Mwanza-Isaka ujenzi umefikia 54%" ?? π€£Hakuna lot yoyote inayoendelea mpaka sasa ila hapa tunafurahishana ili tuonekane washindi ila kiukweli hakuna lot 3,4,5 mpaka iyo 6 zimesimama
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 3234331View attachment 3234332View attachment 3234334
Kuna muda tuache kaunafiki na kutosema ukweli bayana hii lot 5 inaonekana imesimama.
Tunahitaji maelezo juu ya hili nimepita leo hali ni kama hiyo kweli kwa macho yangu pale sidhan kama kuna ujenzi unaendelea au mkandarasi ajalipwa certificate zake.
Uzinduzi ni lini?Reli imeshapita Mwanza kitambo na sasa huko Mwanza ni majaribio ya kupitisha train yameshaanza kitambo
lete ushahidi mradi unaendelea ππWewe unasema mradi umesimama, nakuambia lete ushahidi umeshindwa unabaki kuleta vijistori visivyo na mwanzo wala mwisho. Watu wana akili; usifikirie wote tuna mawazo hafifuππ
Mbona humuulizi kaka yako Boni Yai?ππlete ushahidi mradi unaendelea ππ
Na wewe matako uoni hapo vifaa Au unataka umaarufu ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 3236547
mbuzi kweli ww. huoni vifaa vimewekwa parking, watu wamebwaga majembe toka zamani hadi nyasi zimeota?Na wewe matako uoni hapo vifaa Au unataka umaarufu π
Iyo post nilipost zaman wewe acha kujitafutia umaarufu πmbuzi kweli ww. huoni vifaa vimewekwa parking, watu wamebwaga majembe toka zamani hadi nyasi zimeota?
Bado upo?π
Ipo iyo mtuBado upo?π
Una shida naye?Kadogosa bado yupo....
View attachment 3239402
wewe huna?Una shida naye?
Unataka niwe nayo?wewe huna?
wenzako wanayoUnataka niwe nayo?
Akina Boni Yaiπwenzako wanayo