picha ziko wapi?Nilidhani kwa Mwanza SGR ujenzi bado umepamba moto,unaenda kwa awamu.
Nilipita maeneo ya Isaka-Shy ni kama mradi umeshatelekezwa tuta linamomonyoka tu.
Kwa hiyo unataka mimi nifanyeje?usijitoe ufahamu....
View attachment 3240936
ulieKwa hiyo unataka mimi nifanyeje?
Kwanza alie Boni Yai😁ulie
Kamanda huchoki tu? Mwenzako Boni Yai siku hizi keshatulia🤣
pole kama nimekukwazaKamanda huchoki tu? Mwenzako Boni Yai siku hizi keshatulia🤣