Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

aisee... hii wiki imekuwa ndefu sana kwa bi kizimkazi 🀣
 
 
cheki hapa πŸ‘‡
View attachment 3340401
huyu tutamnyoosha kama mchele wa basmati.
Kumbe we una fikra finyu hapo!?
Wanaharakati wenu walikamatwa Kesha na kuwa deported,nani kamnyoosha mwenzake kati ya Tanzania/Mama Samia na ninyi wakenya?
Na vijana wenu wawili waliwekwa rumande siku mbili hadi Jana ndio wametolewa.
Nani kamnyorosha mwenzake!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unajiskia hata unavyoongea.
Hiyo ni meseji mama anatuma kwenu,hataruhusiwa kenge yeyote kuiingilia sovereignty ya TZ.
 
Mpaka Leo hawajaongea chochote kimyaaaa . Watakuwa wamefinnywa pumbu mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…