Cost effective: Ukisema hawalimi "Kilimo Kwanza" yawezekana wewe ndio hulimi kabisa ungana nami

Cost effective: Ukisema hawalimi "Kilimo Kwanza" yawezekana wewe ndio hulimi kabisa ungana nami

Joined
Dec 1, 2019
Posts
42
Reaction score
13
Safari ilianza kilimo ni Uti wa mgongo ( jembe la mkono likatawala tukampata mbunge anaitwa mkono ) hadi kilimo kwanza ikishindikana labda tatizo ni darasa la kwanza kubeba begi kama mtu wa form 6.

Saa hizi serikali ya viwanda yawezekana tutashangaa ideology ya kutumika maana walishiriki privatisation. Litakuwa tatizo la kunywa dawa hili aka kunywa matatizo yako maana wahindi wameleta mifano kila kila kona ya nchi.

Viwanda ua!!

Mipango miji ya?

Ukisema hawalimi wewe Ndio tatizo

 
Back
Top Bottom