Cost of electricity per unit in EAC

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Umeme ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Leo ningepeda tujadili bei za umeme kwa unit (kWh).
Tujadili kwa kina na kisha tueleze kwanini bei zinakuwa hivyo. Hata hivyo, tunatakiwa tujadili kwa undani kabisa chanzo kipi cha umeme kinakuwa cha bei nafuu kuliko kingine.

Basi ninaanza kama ifuatavyo:-
CountryCostin USD
Kenya23.47Ksh$0.23
Tanzania100.0Tsh$0.043
Uganda250.0 Ush$0.067
S. Sudani
Rwanda182 Franc$0.20
Burundi
Source of Information:


Kenya


Tanzania:





Uganda:




Rwanda


Karibuni tujadili sasa.
 

Are you trying to say that Kenya has been obliterating you in manufacturing with such high prices? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Bongolala bure.

What will happen when we lower our prices then? Where will you hide?
 
Uchumi upi huo wa kwenye makaratasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uchumi usioweza kufanya chochote hadi mkope,
Uchumi unaotegemea misaada ya chakula,
Uchumi unaokopa deni ili ilipe deni,
Uchumi unaomilikiwa na wachache,
Jikite kwenye mada.
Okay, Japan wako na deni inayokaribia mara mbili zaidi ya GDP yao, pia tuseme uchumi wa Japan ni wa makaratasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…