Wewe jamaa kama kweli huyo kwenye Avatar ni wewe inaonekana una hekima sana na ni mwerevu kuliko makaka zako japokuwa una umri mdogo..nafuatilia baadhi ya comments zako naona sio mtu wa kukurupuka unabishana facts kwa facts na hukimbii swali sio kama hawa raia wanaoishi kibera kina Janerose mzalendo,MK254 vulcan na wengine ambao nadhani effect ya utapiamlo udogoni inajionesha waziwazi kwenye michango yao..Project nzuri lakini
Viwanda vinatumia gas, kila mwezi viwanda viwili vinaonganishwa nishati ya gas.Utashuka zaidi maana hakuna viwanda vya kutumia umeme.
Unamchanganya tu hajawai kutoka nje ya nchi zaidi ya kula funza kibera tukwa jinsi ulivyouliza, inaonesha hufahamu haya mambo ya dunia ya kwanza, hivyo nakusamehe tuu. Nimeweka karatasi kwasababu ya privacy, sina haja ya kukudanganya.
Nchi hii... account za utilities, phone bills n.k zinakuwa zimeunganishwa na SSN, ni unique namba ambayo ina taarifa zako zote. Mtoto akizaliwa tuu hupewa hiyo namba na anakuwa nayo mpaka anakufa. Kwa hiyo, kwa privacy yangu nimeamu kuiziba.
Dah, sijui nisemeje, ungejua bills za hapa zilivyo wala usingeshangaa... hiyo $97 ni champ change kwa bili ya umeme wakati wa winter. Nyumba hapa zinakuwa na central heating/air system, washer/dryer, stove n.k vitu hivi vinakula sana wattage.
Mfano, sasa hivi tupo fall (season) lakini leo asubuhi teyari temperature nje ilikuwa 28F (-2 Celcius) na winter itakapo changanya (Jan - Feb) temp itashuka mpaka -6F (-21 Celsius). Sasa kwa temp hizo unafikiri bill itakuwa kiasi gani au unafikiri tunatumia kuni ku-warm nyumba?
Watu wanayeishi kibera sio binadamu Kama sisi?wanaoishi kibera
Wengi akili zao hazina hekima hawawezi kujadili kwa kutumia hoja ukitaka uone maajabu..fuatilia thread za kaka yako MK254 anazozianzisha mara sijui uchawi Tanzania,mara mafuriko Tz vitu ambavyo ni common hata Kenya tena sio kenya dunia nzima kwa akili ya kumcheka jirani anatembea na kibwaya wakati wewe upo uchi ni ukosefu wa akili huoWatu wanayeishi kibera sio binadamu Kama sisi?
Momi nilikua nanunua umeme kwa 357tsh. Sometimes ago.Mara ya mwisho umeme nilileta screenshot humu unit moja Tanzania ni Tshs 350