homomorphism
Member
- Feb 12, 2017
- 80
- 80
Mbona hakuna picha wala beiInauzwa:-
COASTER BOX - NDEFU.
ENGINE 14B
Ipo Barabarani inafanyakazi,
Nakupa namba ya Dereva unakagua Gari ikiwa Kazini.
Piga:- 0712801265
Note: Sihitaji Dalali,
Mbona wew mwenyewe kama dalali,kwa nini usimwambie mtu aje aikague ikiwa isharudi kwako(mmiliki)??.Inauzwa:-
COASTER BOX - NDEFU.
ENGINE 14B
Ipo Barabarani inafanyakazi,
Nakupa namba ya Dereva unakagua Gari ikiwa Kazini.
Piga:- 0712801265
Note: Sihitaji Dalali,
Ndio zenyewe kiongozHiyo Coaster ndefu yenye 14B si ndio zile zilizobeba mashabiki kwenda kuangalia Kombe la Dunia la mwaka 1998?