COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

"ahahahaaaa lakini dini yetu inaruhusu, tatizo letu tupo westernized sana!! Mzee wa awamu ya pili alioa mtoto wa shule, mmesahau??"
MMMMMMMMMMM!!!!!!!!
Sijui dini hii ipo Africa tu:
== Mubarak wa Egypt Mke Mmoja
== King Abdullah Hasan Jordan- Mmoja
== ASSAd - MMoja
== Akina Hayatollah = Mmoja
== Indonnesia ==
Nenda kote Pakistan, Bangladesh, Turkey, Indonesia, Yemen. Jamani hii ni weakness tu!!
Hivi kuwahudumia wanawake wanne, halafu ukawahudumie wananchi kuna muda kweli?? Ukiangalia hata wananchi wa nchi hizo wana mmoja! Udhaifu wetu tunatumia dini!
 
Sina sababu ya kucheck mahali popote, mimi nipo bongo na hawa watu ninawajua, huyu mama ni mtandao na amefanya kazi nzito ya kumsaidia JK, katika gazeti la TAZAMA, hayo ya kuwa bibi wa EL ungayasema mapema sio mpaka mimi sianze kwanza kama una ukweli,

na sio mwandishi peke yake aliyepewa U-DC, kutokana na kazi nzuri, wewe ndio unahitaji kwenda kucheck hizo source zako za huku bongo, kwani inawezekana wanakuuuzia makombo bro! Halafu in the future sio lazima uandike jina langu, wewe andika tu michango yako usinitaje nasikia kutapika bro, nilisha kwambia siku nyingi toka uliponiita January Makamba kuwa leave me alone bro!
 
You can't teach an old dog new habits. Watu wazima ambao no decadent wataendelea kuwa decadent.

Watanzania walifanya kosa kubwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Wengi wao hawana uelewa wa kutosha. Baadhi ya mliopo hapa, mnanisikitisha kwani mlipashwa kuwa na uwezo wa kuona tangu mwanzo kuwa JK hangeweza kuwa Rais mzuri.

Nimebishana na wengi wenu hapa kule BCSTIMES kwamba kwa vile JK hakuwa aminifu kwa familia yake, hangeweza kuwa aminifu kwa nchi nzima. Karibu wote mlinikatalia.

Nikirudi kwenye mikataba ya kitapeli, naomba niseme hivi:

Rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta, aliwahi kusema: "Ukiona mutu imelala, nyonya yeye". Hawa wanaotunyonya (wageni na washirika wao, viongozi wetu), wanafanya hivyo kwa vile tumelala. Ili tuamke, inabidi kusomesha umma zaidi. Tatizo linalojitokeza hapo ni kwamba ili kusomesha umma zaidi, inabidi tutumie fedha zetu zaidi wenye Elimu.

Hawa wanaotutawala ambao ndio wanaamua ni kiasi gani cha fedha kiende kwenye kusomesha, wameweka 4.9% tu ya fedha zote kwenye Wizara ya Elimu na Ufundi. Nadhani wanafanya hivyo makusudi li tuendelee kulala, na wao waendelee "kunyonya yeye".

Wakati Kenyatta akitoa kauli yake hiyo, Kenya walikuwa wanatumia 25% ya bajeti yao kwenye Elimu. Leo wanatumia 27%. Wameanza kuamka, na wameanza "kunyonya sisi" tuliolala Tanzania.

We are in a mess. We are in a very poor country that is led by absolutely decadent leaders who plunder the nation mercilessly.

Sasa tufanyeje?
 
Nimekuelewa mzee, maana nikianza kujibu kama unavyojibu watu watashindwa kutofautisha..............................!!!!!!

IO, dini inaruhusu, sisi kama binadamu tu wadhaifu.

Mwalimu, Sidhani kama kuna la kufanya zaidi ya kujaribu kuwaelimisha wa Tanzania waliolala, na ukiangalia asilimia kubwa ya waliolala ndio wanaompa ajira Rais wa nchi (kura). Labda tujadiliane ni jinsi gani ya kuwaelimisha, tutumie njia gani?, magazeti hamna, radio hamna, TV hamna, njia ipi? ya vyama vya siasa? hell NO!! sasa???
 
Kwenye gazeti la This Day lililopo ippmedia.com leo, wanasema chama cha wachimbaji wadogo wa madini (FEMATA) kimedai kwamba serikali inalipa 63.4% ya royalty yake ya dhahabu kwa kampuni inayothibiti kiasi cha dhahabu kinachotolewa nchini na makampuni makubwa ya kuchimba dhahabu.

Inawezekana FEMATA wamepungukiwa tu mahesabu. Inawezekana wamedhani kwa vile serikali inalipa hiyo kampuni ya wakaguzi 1.9% basi ni 1.9% toka 3% royalty inayopata serikali. Kuna tofauti kubwa kati ya 1.9% ya royalty na 1.9% out of 3% royalty. Kama serikali inalipa 1.9% ya royalty yake hiyo haina maana kwamba inatoa 1.9% toka hiyo 3%. Inapashwa iwe 1.9% of whatever the royalty earned is, and not 1.9 divide by 3 which gives that figure of 63.3%

Naomba Mzee ES ucheki huo mkataba unasema nini: wakaguzi wanachukua karibu theluthi mbili ya royalty yote au wanachukua 1.9% ya royalty?

Augustine Moshi
 
Ni mtu gani ambaye anafaa haswa kuulizwa suala hili la Mikataba... we need to put them on the spot!!
 
Ninadahani orpdha yao ni kubwa lakini sijui ni yupi ambaye ni epicenter!

Lakini ni miongoni mwa hawa.

(1)Abdallah Kigoda.
(2)Rubambe
(3)Sumaye.
(4)Mkapa(baba lao).

(5) Mary Ndosi

wengine wanaweza kuwa wanawajua zaidi!

Ila hii awamu mpya pia.

Akina Lowassa, wanaweza kuulizwa watupe majibu ni kwa nini wameshindwa kutoa tamko rasmi bungeni kama walilotoa kuhusu Darwin's ...!
 
baraza la mawaziri linashirikishwa katika kila hatua ya ubinafsishaji. psrc haifanyi chochote kile bila baraka za baraza la mawaziri.

wakati wa ubinafsishaji wa NBC, psrc ilipendekeza benki iuzwe kwa Backlays Bank. baraza la mawaziri lilipinga pendekezo hilo na kulazimisha benki iuzwe kwa makaburu.
 
Hivi wale wawekezaji wanaochukua Tanzania railways Corp wanaotoka Asia mnawajua? naomba mwenye data azimwage humu tuwajadili
 
Nimewapata Yaani watakuwepo kwa miaka 25???!!!!!!! watawekeza mabillioni mangapi mpaka wawepo kwa miaka 25!!!!??? Duh Tanzania? au sielewi au sijasoma mkataba??!!

Tanzania Railways Corporation
The Tanzania Railways Corporation (TRC) is a state-owned enterprise that runs a railway net that once was part of the East African Railways Corporation (EARC) operating in Kenya, Uganda, and Tanganyika. The gauge is 1.000m and the total length is about 2,600 km. Two east-west lines from the coast to the hinterland were initiated when the country was under colonial rule as German East Africa. The Central Line runs from Dar es Salaam to Kigoma, and the Tanga Line from Tanga to Arusha. A north-south connection links both lines. The mainline has further branches, one to Lake Victoria where through wagon ferries a connection exists to the Uganda Railway. From the Tanga line a connection goes north to Kenya to link to the Kenya Railway Corporation.

There is a break-of-gauge at Dar es Salaam to the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) that at 1.067m links to Zambia.

Privatisation
The Rites Consortium of India won the bid awarded by the Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), to operate passenger and freight services on a concession basis for 25 years.
 
Leo nimeikosa thread hii. Naiweka kiporo hadi Jumamosi kwa vile ina uhondo mwingi kwelikweli.

Admini tafadhali sana usiitempe nayo!!!!
 
Railway? Get familiar first:

 
Talks on TRC concession resume


SOURCE: Guardian
 
Concessioning of TRC put on hold again

 
Dr Who,

Au ulikuwa unataka updates za Tiscan na Cotecna? Unajua kuna mkono wa Naz? Waziri wa Umeme humo, sasa ulizia nani yumo kwenye board (shareholders) Utachoka kabla ya kucheza muziki wenyewe!

FD
 
Jamani hii ilizimwa na akina Karamagi...? Iliishia hewani.

Tuirudishe kwenye siasa ili tuiibue baada ya baraza kutangazwa!

Ombi tu bandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…