H hans79 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 3,800 Reaction score 431 Sep 13, 2011 #81 koki said: hivi mbona kila nikitoa maoni yangu humu siyaoni baadae? au ndo mbinu za wamiliki wa jf wanazifuta kwa manufaa yao? INAUDHI!!!!! Click to expand...

Only,hujatulia
koki said: hivi mbona kila nikitoa maoni yangu humu siyaoni baadae? au ndo mbinu za wamiliki wa jf wanazifuta kwa manufaa yao? INAUDHI!!!!! Click to expand...

Only,hujatulia
Tutafika JF-Expert Member Joined Nov 4, 2009 Posts 1,443 Reaction score 635 Sep 13, 2011 #82 Ni ya zamani lakini ni mpya!, Ufisadi kila kukicha mpaka watu wamekata tamaa kabisa
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 9,604 Reaction score 8,812 Sep 17, 2011 #83 "FairPlay" Ni kweli, infact inajulikana toka zamani kuwa huu mkataba una utata kama IPTL, TICTS na mingineyo mingi iliojaa rushwa. Ndio siri ya umaskini wetu na kutokuwa na maendeleo!
"FairPlay" Ni kweli, infact inajulikana toka zamani kuwa huu mkataba una utata kama IPTL, TICTS na mingineyo mingi iliojaa rushwa. Ndio siri ya umaskini wetu na kutokuwa na maendeleo!
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Nov 23, 2015 #84 enyi ndugu zangu WAGENI Hii ndo ilikuwa JAMBOFORUMS Wakati huo zilikuwa zinashuka NONDO TU.....