Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #101
Kweli bana huyu jamaa alipotea sana,unajua siku hizi unapokuwa critic lile jukwaa lazima wakutie katika Wanted List..naamini sasa'ivi inakuwa updated hourly manake visa vinazidi..lakini Aluta Continua
Wanao angukia kwa ma cougar ni sawa sawa na wale wanao angukia kwa ma sugar daddy hakuna tofouti.
Kila moja anatafuta vya bure.
Kumbe niko kwenye "wanted list"........sikujua hilo......... Iza......ought to be very careful whom I tangle with from now onwards..........
Kwanza kwanini umeita mapenzi fake?Kwani hakuna mahusiano imara na safi ya aina hii?Ki ukweli kila jambo lina pande mbili.Sababu ulizotaja ni kweli zipo ila sio kwa kila kijana mwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima.Hata mimi binafsi natamani niwe na mwanamke mtu mzima maana nimechoshwa na upuuzi na usumbufu wa hawa mabinti(niko serious).Ukweli ulio wazi natamani mwanamke nitakaekua na mahusiano nae ni bora akanizidi umri,pilika na fujo za mabinti zimeshanishinda.Kwanza wanawake hawa hawana longolongo,akikuambia hana nafasi jua anamaanisha na akikuambia anayo jua anamaanisha.Kwa mabinti ni hovyo sana!
Dear Ruta we only live once! so take ur time... get what u want... spend... have funny.... live like there is no tommorrow! regardless watu watawaonaje? hata hizo relationship za umri unaolingana watu hawaachi kuzitoa kasoro ooh mke mrembo kampendea nini mwanamume kama yule n.k. waacheni hao wanaopendana kwa sababu hizo wanazozijua wao alimradi mioyo yao imeridhi waacheni waendelee na kula raha zao jamani....! cougars are like shining diamond... diamonds are forever....!!!
teh kipenda roho hula nyama mbichi, ila tuseme ukweli jaman sio kina kaka wala akina dada, wote wanaangukia kwa hawa ma couger kwa sabab ya chapaaa, penye ukweli heb tuuseme huo ukweli we umeona wangap awe wa kiume au wa kike yupo na jibaba au jimama lilofulia, yaan ambalo halina mkwanja. Binafsi bado kuona wote ninao waona wanatoka na wenye chapaa, na hata ambao nimebahatika kuwasikia mazungumzo yao wanasema bila aibu kuwa majimama au jibaba yao ni ya ki-ATM zaid, na wengi huwa wana wapenz wengine wanaowapenda kweli. Tena hii maarufu sana vyuoni
[MENTION]Asante... Wakuu tizameni pande zote mbili.... Na hivi vi-binti vinavyoshobokea fataki, navyo je?
Nambe wa vyuoni tatizo lao ni ukapa zaidi.....kama wangelikuwa nazo pengine maamuzi yangelikuwa toauti lakini umasikini na kero zake zinawatumbukiza kwenye majibu mepesi kwa mwaswali magumu.......
muhanga .....you are right diamonds are forever but our houses of clay are not...............that is where trouble is with your concerted assertions...........