Could this be it?....................

You are in marriage and you chasing someone for 13 years na machozi juu ahaaa this is purely usanii at its best kweli watu hawaheshimu NDOA zao.
TF miaka 13 inajumuisha na ile ambayo alikuwa hajaoa.........nadhani ndia yake kwa sasa itakuwa na kama 5 hivi na hakuacha kumchombeza dada hata akiwa ndani ya ndoa yake........so kuiweka sawa sentence yako ni kuwa umeoa for 5 years na bado unamchase mwanamke uliekuwa unamchase for teh past 8 years........... I just wish dada angeopen up more kunipa sababu za kumgomea jamaa hiyo miaka 8 kabla hajaoa!! Mwe duniani jamani ah

Sometimes nahisi mapenzi wala hayana tatizo ni sie wapendwaji na wapendaji ndo tunayacomplicate!!
 
 
Reactions: Mbu
Nimegundua kitu kwenye hii mada. Watu hawaheshimu kabisa ndoa! Inatisha sana aisee. Nawasikitikia wote mlio kwenye ndoa.


inatisha sana mkuu... naogopa pia, inaonyesha infidelity is there to stay
 

pole pole dada, naona leo kuna technical mishap maneno mengi yanashindwa kuumbika.

Any way ulimi hauna mfupa na poleni sana kwa hii khabar tata.
 
Reactions: Mbu
TF, dada'ke Mwj1 hajaolewa bana, kazaa tu na mtu.

Mbu,lakini njemba inayomtamani dadake na MwanajamiiOne si imeoa? Au mimi ndo nimesoma na kuelewa vibaya? Na kama njemba imeoa, wewe unaona ni sawa tu hiyo njemba kumfukuzia dadake na MwanajamiiOne?

Halafu hapa mke wa hiyo njemba ndo kasahaulika kabisa. Poor thing.....no symphathy for her!
 
hahahaha!
Wengine 2shatolewa machozi na makamasi.
Wizi mtupu.

Analilia asichokijua. Ajaribu kumpa baada ya mwezi ataona kama speed ya kutembelewa itakuwa ile ile. Hakuna tabia ambayo siipendi kama mtu kulilia penzi. Kama sikutaki sikutaki unalia ili iweje. Ukilia na mimi nalia tuone nani atambembeleza mwenzie. Hiyo ya kulia awadanganye watoto wa shule siyo wamama wazima ambao tushapitia hayo mambo.
 
Reactions: Mbu
Hiyo njemba ni kibaka mzoefu tu. Utakuta ndo janja yake kutumia machozi kama silaha. Huyo dawa yake akilia na wewe unalia tu. Kila mtu mbona ana machozi. Yaani mtu unalilia K ya nje hakika! Analia hili apewe shoulder, apate nafasi ya kukumbatiwa. Mjanja kweli huyo jamaa.

 

bila hivyo kesho MJ1 atakuja kusema yule kaka katoweka baada ya kuchovya, sasa akimuuliza maswali yote hayo ni dada mwenyewe aamue kujilipua kwa majibu atakayoyapata....
 

That guy is morally bankrupt. What he is doing to his wife is wrong all day wrong. And hypothetically speaking, who is to say that what he is doing to his current wife he won't do it to your sister?
 

...La hasha bro, hii haikubaliki kabisa.

Ni sawa na mamsapu anarudi home na kunisimulia eti amekutana na Old Flame wake
akamlilia kilio cha kwi kwi.

Kwanza kitendo cha yeye kunihadithia hilo tayari atakuwa keshaniharibia siku!
 
Mwanajamiiwan, naomba namba ya simu ya dadako ili nimtwangie............nimlilie nione kama ntabahatisha bahati yangu.....Inawezekana ana mahaba na machozi bana.

Samahani kama nimeenda ofu topiki lakini babu anashangaa inakuwaje amnyime kitumbua kwa miaka 13 afu aje apange kumsaulia ghafla baada ya jamaa kumwaga chozi...LOL
 
...mnh, nahisi karibia utatupatia jibu lakini mimi nataka kwanza uniambie kama ahadi za huyo kaka zinatekelezeka au la. Anataka kumuoa (iwe bomani, au kimila?) au lengo lake wawe wanaibia tu?
Mbu mie hata sijui kwa kweli labda nikijaliwa kukaa chini na huyu mkaka ninawezatell baada ya kumswalika kwa sababu natamani sana nisikie upande huu lakini dhamira inanishtaki.....ni kama kutaka kuhalalisha uzinzi .............supposed mkaka akisema yuko unhapply married ...............nitajikuta nakwama uwiii...........
 
MJ1 inaonekana huyu jamaa hata his poor wife kamsahau kabisa its a pity kama ulivyosema we are the ones who complicate things si ajabu mama wa watu hana thamani tena kwa huyu jamaa
 
...La hasha bro, hii haikubaliki kabisa.

Ni sawa na mamsapu anarudi home na kunisimulia eti amekutana na Old Flame wake
akamlilia kilio cha kwi kwi.

Kwanza kitendo cha yeye kunihadithia hilo tayari atakuwa keshaniharibia siku!

Oh okay! Now you are on point.
 
Na waweza kukuta ameshalilia wengi he is not innocent though he pretends to be by crying.

That guy is morally bankrupt. What he is doing to his wife is wrong all day wrong. And hypothetically speaking, who is to say that what he is doing to his current wife he won't do it to your sister?
 
pole pole dada, naona leo kuna technical mishap maneno mengi yanashindwa kuumbika.

Any way ulimi hauna mfupa na poleni sana kwa hii khabar tata.
FA........samahani kama nimekuchanganya but ni vema ukauliza ulipochanganyikiwa nikajitahidi kukuumbia hayo maneno. Ninahitaji na kuomba ushauri wako kwenye hii issue
 
............supposed mkaka akisema yuko unhapply married ...............nitajikuta nakwama uwiii.........

Akisema hivyo wala hakuna kukwama. Unaweza ukamwambia kuwa wajaribu marital counseling na kama hiyo imeshindikana basi watalikiane na mkewe kutokana na irreconcilable differences halafu ndo aangalie mpango wa kumfukuzia sista wako. Hakuna ugumu hapo.
 
Samahani wakuu, nlikuwa nimetoka kidogo.

Kwahiyo mmekubaliana kuwa jamaa liendelee kulia au dadake mj1 aligawie kitumbua ili dume lisiendelee kulia?

Nimemkumbuka TX Moshi (RIP) ghafla........."ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo"

haaha niPM nitakupa namba yake......but usijentaja !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…