Could this be the best crib in E.A?

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,340
Reaction score
4,734


At 30 years, Hamis Kiggundu, a Kampala based businessman is living his dream.....!! Kajenga customised mansion along the shores of Lake Victoria, worth Ugx 6 billion. Awaiting the house warming party.

(Waiting for Le Mutuz to claim they are childhood friends)

 

Attachments

  • HAMIS6.jpg
    24.9 KB · Views: 1,040
Eeh bwana eeh! Huyo jamaa yuko vizuri hongera zake.
Ila huo mstari wa mwisho umenichekesha sana!
 
Yuko vizuri, yes, Best crib? Hell no. Kuna sehemu Bongo hiyo ni nyumba ya mlinzi tu!
 
"Huyu le bilionea ni akili kubwaaz, nilimpokea mwenyewe new york 1998, alilala kwangu miezi sita you know? " :becky:

Hahahahaaaa.. Hakawii kusema kapewa mwaliko wa house warming.... Akili kubwazz
 
Tatizo iko matopeni, ingekuwa kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi ingependeza sana.
 
lah, aisee unaweza kugoma kwenda kuzuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…