Hata kama ulimpokea huko New York so what? Kama huyo mnamuita bisinessman wa huko Kampala ni mtoto wa marehemu Dr.Suleiman Kiggundu then hizo pesa zilitokana na marehemu baba yake aliyewahi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda halafu baadae akaja kuwa CEO wa Greenland Bank ambayo ilikuja filisika!! Kama ni mtoto wa marehemu Suleiman hizo hela amerithi hela ALIZOPIGA baba yake GREENLAND BANK na BENKI KUU YA UGANDA!!