Asiyehudhuria mdahalo amejitupa nje mwenyewe bila ya zengwe
Mimi nina hakika kabisa wagombea wengine wanaweza kufanya mdahalo pasipo Kikwete kwa sababu ni ktk utaratibu mzuri wa kuelewa sifa na uwezo wa mgombea.Hivi kama JK/CCM wamejitoa, vyama vingine hawawezi kufanya huu mdahalo? - Dr. Slaa, Prof. Lipumba na wale wengine hata majina yao siyajui...
Inawezekana udhaifu huu wa waandaaji wa mdahalo huu au udhaifu wa vyama vingine vya siasa katika kuhakikisha mdahalo unafanyika ndio unaowapa kiburi CCM kusema hawataki Mdahalo.
anything can happen katika mdahalo. mgombea unayedhani anaweza kufanya vizuri mambo yanaweza kumuendea kinyume na kufanya vibaya[/B].
Hivi kama JK/CCM wamejitoa, vyama vingine hawawezi kufanya huu mdahalo? - Dr. Slaa, Prof. Lipumba na wale wengine hata majina yao siyajui..