hi!
wakubwa nami nimeungana nanyi katika kuhabarishana, kuelimishana na kurekebishana kwa kutumia mtandao huu wa ukweli. Facebook a.k.a UDAKU kumeniboa nimeamua kuja huku kwenye akili.