Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Aug 29, 2010 #1 Sababu kwa nini nasema inaweza kutokea vurugu mwaka huu vyombo vya Habari TBC1,ITV na Radio nyingine kupendelea upande mmoja vyombo vyote vya usalama kupendelea upande wa CCM TUME YA uchaguzi kuujumu wapizani Serikali kwa ujumla kunyima vyama vya upinzani fursa ya kupiga kampeni Makampuni ya simu kuujumu upinzani CCM inajua kwamba itashindwa sasa itumia njia yoyote kuiba kura Magazeti yenye mlengo wa kulia na CCM kutishiwa kufungwa ( Hayo yote ni kutokana na UMMA WA WATANZANIA KUCHOKA NA UTAWALA HUU. NGUVU YA UMMA NDO ITAKAYOWAADHIBU NGUVU YA UMMA NGUVU YA MUNGU MUNGU IBARIKI TANZANIA
Sababu kwa nini nasema inaweza kutokea vurugu mwaka huu vyombo vya Habari TBC1,ITV na Radio nyingine kupendelea upande mmoja vyombo vyote vya usalama kupendelea upande wa CCM TUME YA uchaguzi kuujumu wapizani Serikali kwa ujumla kunyima vyama vya upinzani fursa ya kupiga kampeni Makampuni ya simu kuujumu upinzani CCM inajua kwamba itashindwa sasa itumia njia yoyote kuiba kura Magazeti yenye mlengo wa kulia na CCM kutishiwa kufungwa ( Hayo yote ni kutokana na UMMA WA WATANZANIA KUCHOKA NA UTAWALA HUU. NGUVU YA UMMA NDO ITAKAYOWAADHIBU NGUVU YA UMMA NGUVU YA MUNGU MUNGU IBARIKI TANZANIA
X xz0r_africa JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 316 Reaction score 314 Dec 4, 2020 #2 πππππππ₯