Mapfa A JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 250 Reaction score 259 Jun 30, 2020 #1 Habari wakuu, Mwenye machine kama hiyo Tafadhali Naomba tuwasiliane. 0764055904 Nashukuru
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Jun 30, 2020 #2 Boss maduka ya wahidi ziko! Au unataka used
Mapfa A JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 250 Reaction score 259 Jun 30, 2020 Thread starter #3 Wangari Maathai said: Boss maduka ya wahidi ziko! Au unataka used Click to expand... Nataka mpya mkuu, Naomba unielekeze ni maduka gani? mkuu
Wangari Maathai said: Boss maduka ya wahidi ziko! Au unataka used Click to expand... Nataka mpya mkuu, Naomba unielekeze ni maduka gani? mkuu
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Jun 30, 2020 #4 Mapfa A said: Nataka mpya mkuu, Naomba unielekeze ni maduka gani? mkuu Click to expand... Kama uko Dar nenda kkoo maduka wanayouza mzani utaipata
Mapfa A said: Nataka mpya mkuu, Naomba unielekeze ni maduka gani? mkuu Click to expand... Kama uko Dar nenda kkoo maduka wanayouza mzani utaipata
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Jul 3, 2020 #5 Nzur
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,730 Reaction score 6,736 Jul 4, 2020 #6 Wacheki jamaa wa Copy Cat Tanzania Ltd (zamani BMTL) kwa namba 022 216 5555.