luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wanawake Nchini kenya waitaka KEBS ipime ubora wa taulo za kike za aina ya always. Inasemekana wanawake nchini kenya wanaotumia taulo izo zinawawasha ukeninna kuwatoa MAPELE hii ni kudhihirisha utendaji mbovu wa mamlaka ya kusimamia ubora nchini Kenya (Kebs)
Majiraninmjipange mtaua wamama
Majiraninmjipange mtaua wamama