Countries with the most beautiful women in the world

Hii list ni fake kabisa

Kuna kaeneo huko katikati ya Turkey na Iran anakotoka Kim Kardashian
 
Hii ni mada tata sana.
Hizo picha zote ulizobandika nimeshawahi kuwakuta mitaani Tanzania na zaidi ya hao.Na muhimu zaidi ni mapenzi ya mtu mwenyewe.Kama mimi sijaona kuliko wasomali ambako niliona nikaowe huko.
 
USA itoe kwenye list maana imekusanya raia wa kila taifa hapa duniani,tofauti na hapo mtoe huyo Jolie weka any native American unayemjua.
 
Mademu wa tz wana urembo wa insta
 
north america is fireeeeeeeeeee
 
Kuna demu nilikutana nae Chatto anakula vyote hivyo na anadai bado hajashiba anataka mahindi ya kuchemsha
 
Hiyo frame ya kwanza ya Jamaica bado naiangalia hapa sijajua nikikutwa nitaeleza nini ila kikubwa uzima
 
I agree
Miaka flan wakati nipo primary enzi hizo JLo yupo sokoni kuna jarida huko kwao liliandika JLo ndio mwanamke mrembo wa mwaka kupita wote ulimwenguni. Na utoto wangu nilireason[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaha!! Umenikumbusha miaka ya 2009 huko nimeingia zangu form1 tunakaa na wadau kwenye ghetto moja la kihuni kuta zimejaa magazeti yaliyobandikwa na wahenga (wahuni waliokaa humo kipindi cha nyuma na wameshaua four kitambo), kulikuwa na gazeti lina picha ya J-Lo, kwa chini limeandikwa: J-Lo; Mwanamke mrembo zaidi duniani. Nikamkubali sana!

Lakini palepale kwenye magazeti tukawa tunachagua mademu wakali, Nancy Sumari (alikuwa Miss Tz kama sikosei) akawa anaongoza kwa kura za mayanki, akamfunika J-Lo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…