Country Classification: Developed, Emerging and LDC countries.

U
You know nothing about KE. You may have lived in KE for a short time and now you want to teach me about my country?
 
Wacha nyumbu zilime afu sisi tutanunua.
 
The whole africa is poor where by no any difference between emerging countries and LDC
 
Sasa mbona huwa tukigoma kuwauzia maindi huwa mnatembea kwa magoti hadi Tanzania?
Sasa nyie mbona hampandi na hamli [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana mngekuwa mnakula basi wananchi wenu wasingekuwa wanateseka karne hii kutokana na ukosefu wa chakula.
 
Tz is on the move,by 2020 redshed will b no longer
aa wapi??? unazani 2020 ni mbali? labda 2025 ndio mutatolewa lakini kwa sasa mutabaki kuwa LdC mpaka mutie akili.
ion.... november ndio hii inakaribia, nipe updates za esjiarrr niandae passport yangu
 
aa wapi??? unazani 2020 ni mbali? labda 2025 ndio mutatolewa lakini kwa sasa mutabaki kuwa LdC mpaka mutie akili.
ion.... november ndio hii inakaribia, nipe updates za esjiarrr niandae passport yangu
Tuliza balls buda, kama nyie nyumbu mlitoka why do you think sisi hatutatoka?
Per capital as per ministry of finance said it all ,per capital of $1090 n we r growing at 6+%annually
 
Tuliza balls buda, kama nyie nyumbu mlitoka why do you think sisi hatutatoka?
Per capital as per ministry of finance said it all ,per capital of $1090 n we r growing at 6+%annually
lini Kenya ilikuwa lDc? Kenya haijawai kuwa lDc hata siku moja bruh. hapo awali, countries zilikuwa ranked as in 1st World.... mpaka 4th World,,, Kenya haikuwai kuwa levo moja na lDc tz ama kama una kumbukumbu, lete tafadhali.
nipe updates za esjiarrr niandae passport yangu na mapema maana mwezi november ndio huu unawadia
 
Sasa ninyi mido inikamu kantrii mbona mnapewa misaada ya chakula karne hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni nini.
 
Sasa ninyi mido inikamu kantrii mbona mnapewa misaada ya chakula karne hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni nini.
tatizo ni kuwa, here we eat quality foods while you eat quantity. hatujazoea kula ubwabwa, kushindia mihogo kama ngedere ama kunywa uji siku nzima kisha kila kitu freshi tu. huku tumezoea kula burgers, pizza ama yorgut.
 
Nyanyinyo nyi nyuwa we nyit nywalitwi nyoods [emoji23][emoji23][emoji23] bure kabisa,
Unataka kuniambia watu wa turkana na zile counties zingine 24 ambazo hazina chakula wanakula quality foods,
Hivi kwanza unajua kuwa kuku wanaoliwa Tanzania ni wengi ssna mara mia ya wanaoliwa kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo ni kuwa, we eat quality foods while you eat quantity. hatujazoea kula ubwabwa, kushindia mihogo kama ngedere ama kunywa uji siku nzima kisha kila kitu freshi tu. huku tumezoea kula burgers, pizza ama yorgut.
 
if i may ask, when is the last time you drunk milk tea?
 
Leo asubuh tena sio ya unga yaliyochakachuliwa kama hayo unayokunywa wewe [emoji23][emoji23][emoji23],
Nina ngombe wawili wa maziwa.

if i may ask, when is the last time you drunk milk tea?
 
Leo asubuh tena sio ya unga yaliyochakachuliwa kama hayo unayokunywa wewe [emoji23][emoji23][emoji23],
Nina ngombe wawili wa maziwa.
nilitarajia utadanganya. hapo ulipo najua umeshindia uji wa chumvi tangu asubuhi hadi ubongo wako umejaa uji tupu. sababu moja ya tz kuwekwa kwenye la nchi bogus na shith0le kabisa ulimwenguni ni pamoja na utapia mlo/ malnutrition.
 
Naona umekuwa msemaji wangu,
Tusichukuliane poa.
nilitarajia hautasema ukweli. hapo ulipo najua umeshindia uji wa chumvi tangu asubuhi hadi ubongo wako umejaa uji tupu. sababu moja ya tz kuwekwa kwenye la nchi bogus na shithole kabisa ulimwenguni ni pamoja na utapia mlo/ malnutrition.
 
Kenya maisha ni magumu sana ndio maana raia wake wameichoka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuna muda wa kukimbia nchi yetu kwa sababu maisha ni marahisi huku ukiwa na buku tu unapiga msosi [emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzania is not there because there is no country that can accept witches on their soil[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…