Ooooh
Umerudi tena?
Mtoto ndo keshaoza kafa kwa dushelele la kimbweka sasa nfanyeje, wacha watoe kucha na macho lakini wamwachie dushelele la kimbweka aendelee kuburudika nalo ........!Ngoja utolewe Kucha na meno.
Mtoto ndo keshaoza kafa kwa dushelele la kimbweka sasa nfanyeje, wacha watoe kucha na macho lakini wamwachie dushelele la kimbweka aendelee kuburudika nalo ........!
Hawahitaji kuwa nazo mtoto anajionjea anapotaka kwa siri bhana ..........!
Dawa yenyewe naijua inaitwa mringaringa.
Hahaaaa
nipo ndugu yangu majukumu na shughuli za maisha zimekuwa nyingi vp wewe lakin ujambo?Ulipotelea wapi
Niini???
Nahisi km unaanza kumkubalia
Ooooh
oh sorry my Kipipi nimetangaza status mapema ili kuweka ukuta, mijitu mingine isikufuatefuate kama akina Erickb52 , mana mi mchoyo sana kwenye hayo mambo
basi nisameh my dia twende step2
Sorry!!!
Kizembe hivyo?
Ukuta before capturing one's mind, unawekwa with more actions sio maneno tu.
lol! actions zinakuja, ila si tungeenda faragha kidogo
Kwanini hukulisema hilo mapema??
Mie sidaganyiki kwakweli!
jaman mtoto unajua ile ilikua kuonesha uspartacus,yani ukiwa na mm nitakua nakuprotect kama kuku na vifaranga vyake