Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Hakuna yoyoteMimi Kim Kardashian na Kanye West. Napenda sana hii couple wanapendana sana pia wanapendezana pamoja kim ana mpenda sana Kanye na Kanye vile vile. Siku nikija kusikia hii couple imevunjika itaniuma sana kupitia maelezo. Wewe ni couple ya watu maarufu gani ikivunjika itakuuma?View attachment 860308
Hahaha kamanda Umetisha, Stormy Daniel vs Donald.
Me nilidhan atasema couple wazazi wake wakitengana ataumiaWatu wametekwa kiakili mpaka wanasema wataumia watu walio mbali maelfu ya kilomita wakiachana! Ama kweli utumwa wa akili ni mbaya mno.
+ Jiwe sio?Jojo +.....!
Namkubali sana mtoto alicia ila wakivunjika siwezi hùmia hata kidogoMy all time favourite ni ya Kasseem Dean "Swizz Beat" na Alicia Cook "Alicia Keys"
View attachment 861038
Unajua we haupo sawa hahahJiwe na Janeth, aisee siku nikisikia wameachana na mimi naachana na CCM