Couple gani ya watu maarufu ikivunjika itakuuma sana?

Niliumia sana ilipovunjika couple ya Meek mill na Nicki minaj.......mana meek muhuni wangu yule afu akachukua bonge LA Toto bs nikapenda kweli lile swala...........

Wengine ni Chris brown na Rihanna mpka Leo naomba Mungu wakimaliza kula ujana wao basi warudiane
 
Meek Mill mda mwingi alikuwa anautumia kukaa na wahuni tu,mda wa kumpetty petty baby hana,yeye na wahuni tu kazi kuvuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…