Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Mim najua ni wakike kwa sabb eeeh jamani naelekea kubaya Ila ngoja niseme.
Amechakazwa sana na wanaume hapa ndani hawana haya wakimchakaza wanamtangaza na ushahidi wanakutumia🀣🀣🀣🀣.
Hapa ndani wanaume wachache sana.
Kwani hawez kusema hapana,hawez kutaniwa? Maana mwingine anakuwa anakutania tu
 
Mim najua ni wakike kwa sabb eeeh jamani naelekea kubaya Ila ngoja niseme.
Amechakazwa sana na wanaume hapa ndani hawana haya wakimchakaza wanamtangaza na ushahidi wanakutumia🀣🀣🀣🀣.
Hapa ndani wanaume wachache sana.
Jamen nani huyo dada πŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…