YalaaaaahKama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo trend kwa sasa
Hahahaha,Ww inakuhusu nn hayo mahusiano.acha umbea wa kipopipopi
Ni watu wawili tofautiHuyu Rubi ni yule Rubii wa hapa JF?
Ila wote ni wanawake na wanapigika mbupuNi watu wawili tofauti
Mpigie mkuu ndio yeye. Dogo yupo pis sana. 0762972021 kama unataka collabo nae anakubali tu si unajua tena hayuko juu kama enzi zile!Hivi huyo kwenye Picha Ndio Dogo Aslay?