Couple ya Marioo na Paula unaizungumziaje?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kwa sasa Habari ya mjini ni MARIOO na PAULA ambao wapo kwenye mapenzi shata shata.

Paula ambaye ni mtoto wa Mastaa wawili Bongo Kajala Masanja na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva P-FUNK Majani aliwahi kuhusishwa na penzi la Rayvanny.

Siku za hivi karibuni amenasa kwa Staa wa Hits kali Marioo ambaye ni mmiliki wa Label ya BAD NATION ambaye naye aliwahi kutrend kwenye midomo ya watu na mitandao ya kijamii kuhusishwa na penzi la Mimi Mars.
 
Kama bandari na DP WOLRD
 
Aloooooooo.
huyo paula na mamayake ni kama kupe hivi yaani wakikuganda mpaka wahakikishe umebaki na mbupu tu ndo wanakuachia
 
Back
Top Bottom